KATIBU Mkuu wa ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mzingira, Profesa Faustin Kamuzola, akizungumza kwenye upandaji wa miti leo jijini Dar es Salaam. KATIBU Mkuu wa ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mzingira, Profesa Faustin Kamuzola akiwa kwenye picha na Rais wa Rotary Club of Bahari Dar es Salaam. KATIBU Mkuu wa ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mzingira, Profesa Faustin Kamuzola akimwagilia maji baada ya kupanda mti wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo. KATIBU Mkuu wa ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mzingira, Profesa Faustin Kamuzola akizungumza na viongozi wa Rotary club baada ya kuwasili katika eneo Aga Khan kwenye ufukwe wa Bahari ya Hindi. Afisa Mazingira wa Manispaa ya Ilala, Feada Magesa akizungumza baada ya mpango wa kupanda miti,kushotokwake ni Rais wa Rotary Club of Bahari Dar es Salaam,Amyn Laljl. Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Sea View, Victor Muneni (anayepiga makofi) akishuhudia...