KAMPUNI YA GEOPOLL MAREKANI YAKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NBS KUJADILI TAKWIMU ZA IDADI YA WASIKILIZAJI WA REDIO NA WATAZAMAJI WA TELEVISHENI ZINAZOTOLEWA NA KAMPUNI HIYO HAPA NCHINI.
Mkurugenzi
Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa akizungumza hivi karibuni na mujumbe
kutoka Kampuni ya GeoPoll wakati wa kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji
wa Redio na Watazamaji wa Televisheni zinazotolewa na kampuni hiyo hapa nchini.
Kulia ni Mtendaji Mkuu wa GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman.
Mtendaji Mkuu wa
Kampuni ya GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman akizungumza hivi karibuni wakati wa
kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni
zinazotelewa na kampuni hiyo hapa nchini.
Baadhi ya wajumbe
kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) na Kampuni ya GeoPoll wakifuatilia kwa
makini kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji
wa Televisheni zinazotelewa na Kampuni ya GeoPoll hapa nchini.
Mkurugenzi Mkuu wa
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Albina Chuwa (katikati) akiwa katika picha
ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa GeoPoll kutoka Marekani Steve Gutterman na
Mwakilishi kutoka Idara ya Habari -MAELEZO Casmir Ndambalilo baada ya kumaliza
kikao cha kujadili Takwimu za Idadi ya Wasikilizaji wa Redio na Watazamaji wa Televisheni
zinazotelewa na Kampuni ya GeoPoll hapa nchini.
(PICHA ZOTE NA VERONICA
KAZIMOTO).
Comments
Post a Comment