. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mwenyeji wake Mfalme Sheikh Mohammed Bin Rashid Al Makthoum, Vice Presdent Prime Minister and Ruler of Dubai, wakielekea katika chumba cha mkutano wakati alipowasili katika makaazi yake Dubai kwa mazungumzo RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Mfalme Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum,Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, alipofika katika makaazi yake ya kiongozi huo Nchini Dubai akiwa katika ziara yake ya kiserikali, kulia Balozi wa Tanzania katika Nchi za Umoja wa Falme za Kiarabu UAE Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk na kushoto wasaidizi wa Mfalme, wakiwa katika ukumbi wa mkutano RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na mazungumzo na Mfalme wa Dubai Shaikh Mohammed Bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, ali...
Comments
Post a Comment