WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA LINDI.

  Mjumbe wa Kamati Kuu yaTaifa ya  CCM,  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano Mkuu wa CCM wa Mkoa wa Lindi kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa mkoa wa Lindi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea, Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM wa mkoa wa Lindi wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano wao kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea, Desemba 3, 2017.  

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti CCM wa mkoa wa Lindi aliyen'gatuka, Ali  Mtopa baada ya kufungua mkutano mkuu wa CCM wa mkoa wa Lindi kwenye ukumbi wa Chuo cha Ualimu cha Nachingwea Desemba 3, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Comments

Popular posts from this blog

ASKOFU MWAMAKULA AMUWEKA WAKFU ASKOFU MPYA KENYA.

NABII ELIYA AZIDI KUFUNGUA WATU WALIOFUNGWA WENYE VIFUNGO MBALIMBALI.

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AZUNGUMZA NA MFALME WA DUBAI, WAFANYABIASHARA, ATEMBELEA BANDARI WA JEBEL ALI PORT NA KUTEMBELEA MRADI WA AKHEEL