MATUKIO YA IBADA YA JUMAPILI YA KUWABARIKI WATOTO KATIKA KANISA LA CHRISTIAN LIFE.
Mtumishi Eliya Peter pamoja na Mchungaji Edward wa Kanisa la Christian Life lililopo Skansa Mji Mpya, Jijini Dar es Salaam wakimbariki mtoto Myla Chrispine katika Kanisa hilo leo, ikiwa Ibada ya leo iliambatana na kubariki watoto na somo la ibada ya leo ni NGUVU YA UZAO .
Mtumishi Eliya Peter pamoja na Mchungaji Edward wa Kanisa la Christian Life, wakimbariki mtoto Naomi Jumapili katika Ibada ya leo iliyofanyika kwenye Kanisa hilo.
Mtumishi Eliya Peter pamoja na Mchungaji Edward wa Kanisa la Christian Life , wakimbariki mtoto Clala Emmanuel katika ibada ya leo.
Mtumishi Eliya Peter kushoto pamoja na Mchungaji Edward akiita majina ya watoto nane waliobarikiwa leo katika Kanisa hilo.
Mtumishi Eliya Peter pamoja na Mchungaji Edward wa Kanisa la Christian Life wakimbariki mtoto Happya Ndanga katika Ibada ya leo iliyofanyika kwenye Kanisa hilo lililopo Skansa Mji Mpya, nji ya kuelekea Tegeta Jijini Dar es Salaam.
Mtumishi Eliya Peter pamoja na Mchungaji Edward wa Kanisa la Christian Life lililopo Skansa Mji Mpya, njia ya kuelekea Tegeta wakimbariki mtoto Ayman Liunja katika Ibada ya kubariki watoto hao iliyofanyika leo, kwenye Kanisa hilo.
Mtumishi Eliya Peter pamoja na Mchungaji Edward wa Kanisa la Christian Life, wakimbariki mtoto Ignas Sebah katika Ibada ya leo iliyofanyika kwenye Kanisa hilo jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja Wachungaji, Wazazi na Watoto baada ya kubarikiwa, watoto nane waliobarikiwa leo 22/4/2018 ni Ibela Mtamah, Myla Chrispine, Darius Munis, Naomi Jumapili, Happya Ndanga, Ayman Liunja ,Ignas Sebah pamoja na Clala Emmanuel.
Comments
Post a Comment