HAYA NDIYO MAMBO MATANO, YALIYOWAPONYA WAUMINI WA KIMANGA KIROHO KATIKA SEMINA YA MAANDALIZI YA PASAKA.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter, akiongoza semina ya maandalizi ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la EAGT Tabata Kimanga.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life, lililopo Tegeta Skansika Eliya Peter akitoa huduma ya maombezi kwa mtu mmoja mmoja.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter,akiendelea kutolea ufafanuzi baadhi ya masomo ya maandalizi ya semina hiyo, ikiwamo mambo ya kuzingatia ili ukue na kuongezeka kiroho, Jinasue kwenye urafiki au undugu ulioambatana nao kimakosa.
Pia Kuwa Makini ya Kile unachokili katika maisha yako na wengine, Chunguza Moyo wako ujue jinsi ulivyo na Muombe Mungu akupe mtu wa kukuongoza ili akuvushe.
Baadhi ya wahudumu wakiendelea kutoa huduma kwa baadhi ya watu waliokuwa wakifungulia wakati wa maombi na maombezi yaliyokuwa yakiendelea baada ya mafundisho ya semina ya Sikukuu ya Pasaka.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter, akitoa huduma ya maombi kwa mtu mmoja mmoja.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter, akimuelezea kijana huyo moja ya changamoto ambayo anaweza kukutana nayo katika kazi anayoifanya.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter, akiendelea kuwaombea watu.
Baadhi ya wahudumu wakiendelea kutoa huduma kwa watu wenye matatizo mbalimbali, wanaozidiwa wakati huduma ya maombi na maombezi.
Baadhi ya waumini waliohudhuria semina ya maandalizi ya Sikukuu ya Pasaka.
Huduma ya maombi na maombezi ikiendelea kwenye semina hiyo.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter, akiendelea kutoa huduma ya maombi na maombezi baada ya mafundisho ya semina ya maandalizi ya Pasaka katika Kanisa la EAGT la Mchungaji Joseph Marego, lililopo Tabata Kimanga Jijini Dar es Salaam.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter,akielezea nguvu za giza zinazomfuatilia mtoto huyo.
Comments
Post a Comment