NEEMA YA WAANGUKIA WAUMINI WA KIMANGA "WAFUNGULIWA KIROHO SEMINA YA PASAKA."
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter, akimuombea mmoja wa waumini wa Kanisa la EAGT Tabata Kimanga. 
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter, akimtabiria kijana huyo aliyelala chini wakati wa semina ya maandalizi ya Pasaka iliyofanyika katika Kanisa la EAGT la Mchungaaji Joseph Marego lililopo Tabata Kimanga.
Huduma ya maombi na maombezi ikiendelea kwenye semina hiyo, iliyofanyika kwenye Kanisa la EAGT lililopo Tabata Kimanga Jijijini Dar es Salaam.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter, akimuombea mama huyo ambaye anamatatizo ya kutokusikia.
Waumini wakiendelea kupokea na kuponywa kwenye emina hiyo iliyofanyika katika Kanisa la EAGT lililopo Tabata Kimanga Jijini Dar es Salaam.
Maombi na maombezi yakiendelea kwenye semina hiyo iliyowafungua watu waliofungwa katika vifungo mbalimbali.
Mchungaji Mkuu wa Kanisa la Christian Life lililopo Tegeta Skansika , Eliya Peter,akiendelea kuombea mtu mmoja mmoja kwenye semina hiyo.
Waumini wa Kanisa hilo wakiwa kwenye maombi baada ya kufundishwa mafundisho ya maandalizi ya semina ya Pasaka.
Comments
Post a Comment